Adverts

Jan 8, 2012

Zee la nyeti achomoka kwenye klabu ya makapera

Mdau Henry Mdimu a.k.a Zee la Nyeti akionyeshana malavidavi na mai waifu wake
Mdau Henry Mdimu akitambulisha ndugu,jamaa na marafiki zake huku ubavu (mkewe) wake ukisikiliza kwa makini wakati wa utambulisho huo.
kula mamsap wangu wa kufa na kuzikana.