Adverts

Feb 18, 2012

Yanga yashindwa kutamba nyumbani leo,yatoka sare ya bao 1 - 1 na Zamaleck

Mshambuliaji wa Timu ya Zamaleck,Amr Hassan Zaki akipiga shuti lililompita mlinda mlango wa Yanga,Shaaban Kado na kutinga wavuni na kufanya matokeo kuwa 1-1 yaliyodumu mpaka mwisho wa mchezo.
Wachezaji wa Zamaleck wakipongezana mara baada ya kusawazisha bao lao.
Hivi ndivyo matokeo yalivyokuwa mpaka mwisho wa mchezo wa leo.
Kocha Mkuu wa timu ya Zamaleck,Hassan Shehata akizungumza na vyombo vya Habari mara baada ya kumalizika kwa mchezo wa leo,ambapo amesema kuwa Yanga ni timu nzuri na si ya kuibeza kwani wanacheza mchezo mzuri sana na wanajipanga kwenye mchezo wao wa marudiano.
KUTOKA MICHUZI BLOG