Adverts

Apr 26, 2012

CHUO CHA MIPANGO YAGHARIMIA MILANGO MITATU YA MADARASA WAMI DAKAWA

Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Wami Dakawa akipokea ufunguo wa Milango ya moja ya madarasa  kutoka kwa Mkufunzi wa chuo cha Mipango Dodoma Dr Martha Nhembo, Chuo hicho kimefunga milango hiyo baada ya kufunga kambi katika shule hiyo kwa siku 10 wakati wa kutengeneza Mipango ya maendeleo ya kijiji hicho

Afisa Mtendaji Kijiji cha Wami Dakawa Bwana ALLY KIBEKU akipokea ufunguo wa ofisi ya walimu ambayo pia imewekwa mlango mpya kwa msaada wa chuo cha Mipang

Utawala bora ni moja ya somo lililopitwa kwa viongozi wa kijiji  hicho ikiwa ni mrejesho wa utafiti mdogo uliofanywa kabla ya kuandaa mpango wa Uwiano wa Kijiji hicho