Adverts

Apr 25, 2012

MAHAKAMA YA WILAYA YA MBOZI YAJIPANGA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA KESI

Viongozi wa dini ni wadau muhimu katika utoaji wa haki kwa kutoa ushauri na unasihi kwa waumini wao katika kupunguza kujihusisha na Uhalifu pichani ni  mchungani wa KKKT Vwawa Mch Mwakitalima, Masheikh viongozi wa Bakwata  na sheik mkuu wa wilayani Mbozi

Watu wakiwa katika ukumbi wa Mahakama ya wilaya Mbozi wakati wa maadhimisho ya wiki ya sheria mwaka huu

Mh Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya wilaya Mbozi Mh Mushi akizungumzia mikakati ya kuimarisha  utoaji haki katika mahakama zake ambapo yeye anazisimamia katika wilaya ya Mbozi ambayo ni miongoni mwa wilaya zenye matukio mengi ya jinai