Risala ya vyama vya wafanyakazi mkoani DODOMA imeituhumu serikali kuwa ina ubia na wala rushwa na ndiyo sababu imekuwa ikifumbia macho kushuhulikia kero hizo,
wakisoma mbele ya mkuu wa mkoa wa Dodoma wafanyakazi mkoa wa Mbeya wameonyesha hofu yao kuwa kufanya hivyo kumekuwa kukiwakatisha tamaa.
more sooon
May 1, 2012
MEI MOSI DODOMA YAANZA VYEMA MAANDAMANO YAMALIZIKA
Wafanyakazi wakiendelea na maandamano kuelekea uwanja wa Jamhuri Mjini DODOMA mchana huu |
Taasisi na Idara mbalmbali zikiandamaana katika maadhimisho ya siku ya wafanyakazi MEI MOSI |
Chuo cha Biashara Dodoma CBE wakiwa miongoni mwa waandamanaji wakipita mbele ya mgeni rasmi |
WIMBO wa solidarity forever ukiimbwa kwenye maadhimisho hayo |
Baadhi ya wafanyakazi walioshiriki maadhimisho hayo wakifuatilia kwa makini maonyesho ya taasisi mbalimbali wakati magari na mbwembwe hizo zikipitishwa kwenye uwanja wa jamhuri |
Sehemu ya waaandamanaji wakieelekea kwenye jukwaaa kuu ambako mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi alikuwa mgeni rasmi |
Wafanyakazi wa manispaa ya Dodoma wakifanya usafi kwenye uwanja wa hamhuri kama sehemu ya maonyesho ya maadhimisho ya siku ya wawafanykazi mei mosi |
Wafanyakazi wakifuatilia mbwembwe za maonyesho ya taasisi mbalimbali yaliyokuwa yakipita kwenye jukwaa kuu |
Baadhi ya wafanyakazi bora wakisubiri muda mwafaka wa kuchukua chao mbele ya mgeni rasmi |
MEI MOSI DODOMA KUMEKUCHA ASUBUHI
Hawa ni watu muhimu katika kuifanya miji yetu ilingane na hadhi zake, hapa wakiwa na zana zao katika maandalizi ya maandamano katika viwanja vya Nyerere Square |
Hapa ni waahadhiri wa chuo cha Mipango DODOMA wakibadilishana mawazo wakati wa maandalizi ya maandamano katika viwanja vya Nyerere square mjini DODOMA |
Profesa Zilihona akizungumza na wahadhiri wengine wa chuo cha Mipango, anayeonekana kuchangia hapo ni Dr Malila, kulia ni Bwana Haule afisa Habari na mawasiliano Chuo cha Mipango Dodoma |
Ni katika kuhanikiza sherehe za Mi Mosi mjini Dodoma, chuo cha Mipango chajiakisi namna kinavyokabili changamoto za ajira kwa wahitimu wake |
Mdau wangu wa siku nyingi toka tupoteane, Dr Ngumbi katikati akiwa na wafanyakazi wenzake wa halmashauri ya wilaya ya wilaya ya Mpwapwa katika viwanja vya Nyerere |
Ni katika mazingira ya maandalizi ya maandamano hapa Nyerere square Dodoma endelea kuwa nasi tukufahamishe yanayojiri |