Adverts

Jan 14, 2013

HALI YA UKUAJI WA UCHUMI WA TANZANIA KUJULIKANA KESHO


WAZIRI WA FEDHA DR WILLIAM MGIMWA NA VIONGOZI WA SHIRIKA LA FEDHA DUNIANI –IMF- WATATOA TAARIFA YA HALI YA UKUAJI WA UCHUMI WA TANZANIA.

 MUDA SAA 3.00 ASUBUHI
LINI- 15.1.2013 JUMANNE
WAPI- WIZARA YA FEDHA
WANAHABARI KARIBUNI