Adverts

Jan 25, 2013

SEKRETARIETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI YAELEKEA KIGOMA KWA TRENI


 Katibu Mkuu wa CCM, Kinana akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma wakati akiwa na msafara wa viongozi wenzake wakielekea mkoani Kigoma leo kwa ajili kuhudhuria sherehe za miaka 36 ya kuzaliwa CCM.
 Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Asha-Rose Migiro akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma leo.
Baadhi ya Wana CCM wakimuaga Kinana na msafara wake kutoka stesheni ya reli Dar es salaam kwenda Kigoma, leo. 
Picha na Bashir Nkoromo