Adverts

Feb 20, 2013

HALMASHAURI YA MBOZI YAWAWEKA KITIMOTO WATENDAJI VIJIJI NA KATA KWA UHARIBIFU WA MAZINGIRA


 AFISA MIPANGO JUMA MWANYANJE KUSHOTO AKIWA NA AFISA MAZINGIRA MBOZI HAMIS NZUNDA KWENYE KIKAO CHA KAZI KWAAJILI YA KUTOA MAELEKEZO KWA WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA WILAYANI HUMO JUU YA SUALA LA HIFADHI  YA MAZINGIRA
 MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA MBOZI LEVISON CHILEWA AKIZUNGUMZIA WARAKA ALIOUSAMBAZA KWA WATENDAJI KUORODHESHA VYANZO VYA MAJI  VILIVYOPO KWENYE VIJIJI VYAO, KULIA NI AFISA UTUMISHI BWANA MFUGALE
 BAADHI YA WATENDAJI WA KATA  NA VIJIJI WAKIFUATILIA MAELEKEZO KWENYE KIKAO HICHO JANA
WASHIRIKI WAKIMSIKILIZA MKURUGENZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOZI