Adverts

Feb 12, 2013

MAISHA BORA HATA VIJIJINI YANAPATIKANA KWA UMEME JUA

Nyumba hiyo iliyopo katika kijiji cha Chipumpu wilayani Mbozi imeunganishwa na mfumo wa umeme jua ambapo familia hiyo inaendelea kuburudika na huduma za matumizi ya umeme jua