Adverts

Feb 3, 2013

MBOGA!

HIZI NDIZO MBOGA TULIZOKULIA ENZI ZETU HUKO TANZANIA YA KIJIJINI, ILIKUWA UNAKWENDA SHULE YA MSINGI NA CHAKULA, MBOGA HII HAIKOSEKANI KATIKA PAKACHA LA MWANAFUNZI