Adverts

Feb 12, 2013

WANANCHI WANAPOHAMASIKA KATIKA KUJENGA MIUNDOMBINU

 miradi ya ujenzi wa barabara inahitaji pia wananchi kujitolea, hii ni sehemu ya nguvu kazi ya wananchi wa eneo la Ilolo katika mji wa Vwawa wilayani Mbozi
Kwasisi tuliokulia vijijini tunakumbuka sana kazi za mselagambo wananchi wana ari ya kujiletea maendeleo na hivyo ushiriki wao katika shughuli za kujenga miundo mbinu kunatoa fulsa kwao kutumia raslimali zilizopo katika kujikwamua na umaskini kupitia miundombinu waliyoijenga kwa jasho lao wenyewe