Adverts

Mar 16, 2013

DHAHABU YA MBOZI HII HAPA!!!!

 HILI NI MOJA YA MASHAMBA MAPYA YA KAHAWA WILAYANI MBOZI AMBAYO YANATARAJIWA KUBADILI HALI YA MAISHA YA WANANCHI WA WILAYA MBOZI KWAKUWA NDILO ZAO PEKEE LINALOIINGIZIA WILAYA YA MBOZI TAKRIBANI TRILION MOJA KATIKA KILA MSIMU
 MTAALAMU WA MIFUGO PIA AKITOA ELIMU KWENYE SHAMBA LA KAHAWA KWAKUWA UFUGAJI NA KILIMO VYOTE KWA PAMOJA HUFANYIKA WILAYANI HUMO
DALILI ZA KUANZA KUOTA MAFWEZA ZINAWAJIA WAKULIMA KAHAWA IKIFIKIA HATUA HII