Adverts

Mar 16, 2013

HALMASHAURI YA MBOZI YAELEKEZA NGUVU KUYAPA THAMANI MAZAO YA WAKULIMA

 Mashine ya kukamua alizeti inayotumiwa na wnanchi katika kuongeza thamani zao la alizeti katika moja ya vijiji vya wilaya ya Mbozi
 Mashine inayochuja mafuta (filter) na kuweka katika madaraja

 Mashudu sehemu ya mazao yatokanayo na alizeti amzbayo hutumiwa kama chakula cha mifugo
Baadhi ya wanufaika wa mradi wa Mashine ya kuchuja mafuta ya alizeti wakihojiwa na timu ya ufuatiliaji na usimamizi wa miradi katika serikali za mitaa namna wanavyonufaika na mradi huo ambao ni sehemu ya jitihada za halmashauri ya wilaya ya Mbozi kuongeza thamani ya mazao yanayozalishwa na wananchi