Adverts

Mar 19, 2013

HOSPITALI YA WILAYA KUKABIDHI NYUMBA ZA MADAKTARI HIVI KARIBUNI


 MIRADI YA NYUMBA ZA MADAKTARI NA WAUGUZI ZINAZOENDELEA KUJENGWA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOZI

Mganga Mkuu wilaya ya Mbozi Dr CHARLES MKOMBACHEPA akitoa taarifa ya ujenzi huo, kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Erick Minga