Adverts

Mar 9, 2013

KENYATTA ASHINDA URAIS WA KENYA


USHINDI WA KURA 6,173,433 WA UHURU KENYATTA DHIDI YA KURA 5,340,546 ZA RAILA ODINGA UNATARAJIWA KUTANGAZWA LEO MAJIRA YA SAA TANO NA TUME HURU YA UCHAGUZI YA KENYA 
MATOKEO YA MAJIMBO 291 YALITOLEWA SAA NANE USIKU AMBAPO BAADA YA UHESABUJI HUO MATOKEO HAYO YALIKUWA YAMESHATOA PICHA KWAMBA KENYATA AMEFIKISHA ASILIMIA 50NA KURA MOJA AMBAPO YEYE ALIZIDISHA KURA ZA NYONGEZA KUMWEZESHA KUTANGAZWA RAIS MTEULE.
HONGERA KENYATTA, HONGERA KENYA , HONGERA AFRIKA MASHARIKI