| ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa akikata utepe kuzindua chuo kikuu cha Tumaini Makumira tawi la Mbeya | 
| Viongozi mbali mbali wa mkoa wa Mbeya walihudhuria uzinduzi huo | 
|  U Askofu  Mkuu wa Kanisa la Kiluthei Dayosisi ya Konde Askofu Dk. Dr.Israel Mwakyolile  akisoma somo la kwanza katika ibada ya uzinduzi wa tawi hilo  | 
| Baadhi ya wageni waalikwa wakiwemo wakurugenzi watendaji wa halmashahuri mbalimbali za wilaya mkoani Mbeya wakifuatlia hotuba ukumbini humo (katikati ni Bi Silvia Siriwa- DED ILEJE). | 
| Mara baada ya ibada Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiluthei Dayosisi ya Konde Askofu Dk. Dr.Israel Mwakyolile akielezea historia fupi ya chuo hicho kwa wageni waalikwa | 
| Mkuu wa chuo cha Tumaini Mkumira tawi la Mbeya Dk Gwamaka Mwankenja akisoma risala mbele ya mgeni rasmi mkuuu wa mkoa Mbeya | 
| ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dkt. Alex Malasusa akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa mkoa mbeya Abasi Kandoro | 
| Mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro akihutubia katika uzinduzi wa chuo hicho cha Tumaini makumira | 
| Hili ni jengo la utawala chuoni hapo PICHA ZOTE KUTOKA MBEYA YETU BLOG | 
 
