Adverts

Mar 1, 2013

POLISI AFRIKA KUSINI WASIMAMISHWA KAZI KWA MAUAJI YA KINYAMA RAIA WA MSUMBIJI

Polisi wa AFRIKA kusini wakisindikiza gari lao huku wameshika miguu ya raia wa Msumbiji ambaye baadaye walimwachia aburuzike kwenye gari lao na hatimaye kumuua! Ukatiri gani huu
futilia link hii
http://vimeo.com/60769655
http://vimeo.com/60769655#t=93