Adverts

Mar 14, 2013

ULAJI WA CHAKULA CHA ASILI UNAIMARISHA URIJALI AKINA BABA!!

 Mama wa kidigo akionyesha aina ya chakula cha jamii ya kabila hilo kinavyopikwa na kutumiwa kwenye kaya katika  kutunza afya na uwezo wa asili wa akina baba katika kutumikia majukumu yao ya ndoa
Mama huyu wa kabila la Wanyiha akionyesha ugali wa ulezi ambao umepikwa kwenye chungu na kuwa miongoni mwa vyakula muhmu kwa afya za wanaume na kuwawezesha kuwa na nguvu za aina zote (yaani nimeandika kwa lugha inayoeleweka)