Adverts

Mar 3, 2013

WALIMU WAANZA KURIPOTI, SEMINA ELEKEZI ZIONGEZEKA KWA WALIMU WAPYA

 Walimu wakiwa njiani kwenda wilayani walikopangiwa kwenda kuripoti, mara magari yameharibika mara hivi!
 Hapa wapo kwenye semina elekezi wilayani Mbozi Viongozi wa idara ya elimu wakifuatilia maelekezo yanayotolewa na vingunge high table


 Afisa wa TUME ya utumishi wa walimu  akizungumza na walimu hao ambapo msisitizo ulikuwa ni taratibu na sheria za ajira zinazowahusu walimu hao ambapo aliwaambia wazi katika kipindi cha miezi sita ya matazamio wanaweza kufukuzwa hata bila kupewa maonyo! hivyo hata wale waliokuja wajawazito hawana haki ya maternity leave kwa kipindi cha miezi sita ya ajira zao!
 AFISA ELIMU SHULE ZA MSINGI GIFT KYANDO KUSHOTO NA AFISA ELIMU SEKONDARI BWANA MGAYA KULIA
WALIMU WAKIMEZESHWA DOZI YA MASUALA YA UTUMISHI SERIKALINI