Adverts

Oct 2, 2013

MBOZI ASUBUHI YA LEO

Wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Mbozi wakifuatilia mjadala wa maandalizi ya Mbio za Mwenge wilayani Mbozi ambao utaingia  wilayani humo October 05, mwaka huu

baadhi ya watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mbozi wakijiandaa kwa safari za ukaguzi wa miradi kabla ya mwenge kuwasili