![]() |
wakati wa kuzindua klabu ya wapinga rushwa katika shule za sekondari |
![]() |
Kiongozi wa mbio za mwenge akiangalia picha zilizochorwa na wanafunzi kuonyesha kuchukia rushwa ya ngono |
![]() |
Mkimbiza mwenge akikagua mradi wa umwagiliaji Iyula |
![]() |
Uongozi wa halmashauri ya wilaya ukishuhudia makabidhiano ya mizinga kwa kikundi cha vijana |
![]() |
Uzinduzi wa chuo cha wauguzi Mbozi mission |
![]() |
wadau kutoka momba wakiwa tayari kwaajili ya mbio za mwenge wilayani mwao |
![]() |
miongonimwa miradi iliyozinduliwa ni ukumbi wa shule ya sekondaari ya Vwawa |
![]() |
kaaazi hapa ni kuoga baaadaye, kikundi cha ngoma ya ndili kikiwa kamili gado |
![]() |
Rigwaride linaelekea kunishinda!!! hop hop |
![]() |
Soooosi Up sossi uppp up up ndivyo wanavyotumia singe kuchoma mbele, kushoma juu kushoto kulia nyuma |
![]() |
Mgambo wakionyesha heshima yao mbele ya harakati za mwenge baada ya kuhitimu kozi yao |
![]() |
Kiongozi wa Mbio za mwenge kitaifa akikabidhi moja ya miradi kwa wanufaika -Mradi wa mizinga kwa vijana kupitia halmashauri ya wilaya ya Mbozi |