Indaba blog is rural based online news for rural and urban community!!
Mar 23, 2014
JAMVI LA LIGI DARAJA LA KWANZA LAKUNJWA HUKU KIMONDO IKIRUKA KIMANGA KUSHUKA DARAJA
›
Na Danny Tweve Timu ya Kimondo supersport club ya Mbozi mkoani Mbeya, imemaliza mzunguko wa pili wa ligi daraja la kwanza Tanzani...
MBEYA CITY WATOKA NA NG'ARI NG'ARI MPYA ZA ZUKU TV
›
Ng'ari ng'ari mpya za Timu ya Mbeya City kama zinavyoonekana pamba kali kwa rangi zao!!!
WIKI YA MAJI MAKETE- MKOANI NJOMBE YAADHIMISHWA KWA MAFANIKIO MAKUBWA
›
Mar 23 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi akipata maelekezo kwenye banda la idara ya maji kuhusu bili za ma...
Mar 19, 2014
TUNDUMA MADEREVA WAFUNGA BARABARA, KISA DEREVA WA TANZANIA KUUMIZWA NA POLISI ZAMBIA
›
HABARI ZILIZOTUFIKIA MUDA HUU , NI KWAMBA SHUGHULI ZA MPAKA WA TUNDUMA NA ZAMBIA ZIMESIMAMA KWA MUDA BAADA YA ASKARI WA UHAMIAJI UPANDE WA ...
Mar 18, 2014
NDEGE WA AJABU BUKOBA WAZIDI KULETA MAAFA, SASA YABAINIKA KUSABABISHA MAGONJWA YA NGOZI
›
Sakata la ndege wa ajabu katika kisiwa cha Musira mkoani Kagera wanaotoa kinyesi kinachodaiwa kuwa na sumu na kusababisha kuku na mbuzi kut...
TANZANIA NA MALAWI ZATILIANA SAINI MKATABA WA ONE STOP BORDER POST
›
Uwekaji saini huo ulifanyika Lilongwe, Malawi siku ya Jumatatu tarehe 10 Machi, 2014 ambapo Waziri wa Fedha Mhe Saada Salum aliweza saini...
KAMISHNA WA TACAIDS ASHTUSHWA NA ULEVI WA WANAOTUMIA ARV! ASEMA NI HATARI
›
Na Mwandishi wa Indaba Africa Kamishna wa Tume ya kudhibiti UKIMWI TACAIDS Dk Violet Bakari ametahadharisha uwezekano wa kutokea vifo...
CHIFU WA WANYIHA MWENE SHANTIWA MLOTWA AITAKA SERIKALI IWAACHIE MACHIFU KUADHIBU WAHALIBIFU WA MAZINGIRA
›
Wajumbe waliohudhulia kwenye chanzo cha maji katika eneo la Halungu ambako mradi mkubwa wa maji utajengwa Mhandisi wa Maji Mbozi Ec...
Mar 17, 2014
TACAIDS YAELEKEZA NGUVU MASHULENI
›
Kamishna wa TACAIDS akiwa na ujumbe wake kufuatilia hali ya utekelezaji wa mipango ya elimu dhidi ya UKIMWI mashuleni
Feb 4, 2014
SIKU YA SHERIA MBOZI- OFISA UPELELEZI ALIA NA KUTOWEZESHWA
›
WATU MBALIMBALI WALIOSHIRIKI MAADHIMISHO WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA HAKIMU MFAWIDHI MAHAKAMA YA WILAYA MBOZI RAHIM MUSHI KATIKATI...
‹
›
Home
View web version