Adverts

Feb 23, 2011

GHETTO 1st LADY AZUA MTAFARUKU UGANDA!

Ghetto First Lady toka Uganda na mke wa artist Bobi Wine aitwaye Barbie alizua mtafaruku baada kusababisha msongamano wakati anaendesha gari aina ya Range Rover namba UAM 478X,na gari lake lilipata matatizo pande za Bombo Road na ikalazimika asimame katikati ya barabara mpaka alipopata msaada toka kwa fundi makenika.
"