Hawa wanenguaji watatu wapya wa bendi ya Mashujaa ni Miongoni mwa wanamuziki wapya sita ambao wamechukuliwa katika bendi ya Diambond Musica ikiwa ni pamoja na rapa mmoja na wanenguaji watano katika picha kulia ni Salma Shaban (Teketeke), Kelvin Kitiligi (Dume la Luba) na Mariam Ramadhan (Lelapee) wanamuziki hawa wapya wa bendi ya Mashujaa wametambulishwa leo kwa waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika kwenye mgahawa wa Hadees jijini Dar es salaam.
"