sitarajii hawa jamaa nao wataendelea kusumbua wananchi mitaani, manake wakati mwingine huwa sehemu ya kero katika jamii kwa yale wanayoyafanya, Mgambo ni moja ya vyombo muhimu vya kusaidia hatua za kuleta amani kwenye jamii lakini wakikaa muda mrefu bila dili wanakuwa wasumbufu hawa hasa wakikosa uwezeshaji, huwa wanazua ya kwao ili mradi mwisho wa siku kieleweke! Tupo pamoja sana na jeshi la akiba la Tanzania maarufu kama Mgambo kazi yenu ni muhimu sana hasa wakati huu tunapoanzisha mpango wa ulinzi shirikishi, lakini isiwe ulinzi shinikizi!