Sitarajii tena Wafanyakazi mtandelea na staili hizi za maandamamano katika siku za usoni kwakuwa matumaini yanakuja, serikali ya Tanzania baada ya uchaguzi mkuu 2010 tuamini itakuwa sikivu kwa vilio vyenu vya kuongezewa nanihii, kwasababu inatambua kuwa mmechoka na mnahitaji kuongezewa, unahisi nini katika miaka mitano ijayo? yale malengo yako ya kununua uwanja yatatimia? kusimamisha mjengo, kununua usafiri nk? naona kama naota hivi sijui upande wako unaonaje? kitu kikubwa katika kuifanya Tanzania ya baadaye mahala salama pa kuishi ni kujituma zaidi na kuonyesha uzalenfo wetu kwanza kabla ya kulaumu yanayoendelea sasa!!!