Adverts

Jan 26, 2011

Anatakiwa kula kila baada ya dakika 15

Anatakiwa kula kila baada ya dakika 15: "
Ni dada wa miaka 21 anayeitwa Lizzie Valasquez mwenye matatizo ambayo kwa jina la kitaalam yanaitwa undiagnonsed syndrome ambayo anashindwa kuongezeka uzito kama watu wengine wa kawaida na kwa maana hiyo anatakiwa kula mara 60 milo midogo.kwa habari zaidi bofya hapa.
"