PICHA YA WIKI: ALA ZETU: "
Picha hii imenifanya nimkumbeke baba mmoja kule Madaba alikuwa akitoka Madaba mpaka Songea na Zeze yake kwa mguu. Walikuwa wakimwita Perege alikuwa akipita kila kijiji na kupiga zeze yake. Baada ya kukumbuka hivi nikaona si mbaya kama ikiwa picha ya wiki.
TUKUTANE TENA WAKATI MWINGINE:-)