Adverts

Jan 18, 2011

Bimkubwa katika biashara za maparachichi

Bimkubwa katika biashara za maparachichi: " BIBI huyu ambaye hakuweza kupatikana jina lake mara moja akiwa pembezoni mwa barabara ya Uhindini karibu na soko lililoungua akiuza maparachichi,bibi huyu ni kati ya akina bibi wengi ambao hufanya biashara aina hii kujikimu kimaisha,. wakiwezeshwa wanaweza,
" new post