Adverts

Jan 18, 2011

HAYA SI MAJI BALI NI KILEVI AINA YA ULANZI

TANAGOZI LARGER- BREWERED BY INDEGINOUS , MADE IN IRINGA BY FEDERAL PEOPLE OF IRINGA HAYA SI MAJI BALI NI KILEVI AINA YA ULANZI: " Mkazi wa kijiji Tanangozi mkoani Iringa akiwapimia wateja wake pombe aina ya ulanzi kwa ajili ya kusambaza kwa wateja maeneo mbalimbali katika kijiji hicho,ulanzi ni kilevi maarufu kwa wakazi wa mikoa ya nyanda za juu kusini hususani wakati wa msimu kama huu wa masika.
" new post