Shekh Mwinyi akijiandaa kuufanyia mhindi alioununua kutoka kwa mjasiliamli mmoja kijiji aliyeshtukia kuwa watu wa mjini lazima wanapendelea vitu vya kutafuna na kuchemsha mahindi fasta fasta na kisha kutuletea kwenye gari tulilokuwa tumepack kivulini!
Dereva wetu Shekh Mwinyi alishindwa kuvumilia na kujitosha angalau alambe mmoja kwanza!
Mara Docta Nchimbi ambaye tulikuwa naye kwenye safari yetu kijiji cha Iporoto akaamunua kuungana nasi katika tafuna tafuna! mahindi matamuu bwana manake hayajawekwa mbolea wala dawa ni mwendo wa kitu organic!!!