Chadema Iringa wampa mbunge wao siku 7 ajiuzulu: "Na Frank Leonard, Iringa HALI ya kisiasa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Iringa Mjini si shwari. Hali hiyo inatokana na kuibuka kwa kundi la baadhi ya wanachama linalompinga mbunge wao, Mchungaji Peter Msigwa na kumtaka ajiuzulu nafasi ya uongozi..."