Wachezaji wa Zesco ya Zambia wakifurhia moja ya mabao 2 waliyowafunga mabingwa wa kombe la Mapinduzi SC katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa katika uwanja wa Uhuru jijini Dar leo
Hekaheka kwenye lango la Zesco
Mshambuliaji wa Simba SC Mussa Hassab 'Mgosi'
akipambana na mchezaji wa Zesco



