Adverts

Jan 18, 2011

Dawati mgongo

Dawati mgongo: " Kwa kila asiyekimbia umande lazima atakumbuka aina hii ya dawati kuna wakati mwingine mnakuwa katika mistari unakuwa umesahau kunakili kitu unalazimika kumwambia mwenzio apindishe mgongo wake, zoezi hili huwa ni zamu kwa zamu ukinakili notisi zako nawe unainamisha mgongo ili mwenzio anakili notisi zake,kama wanavyoonekana wanafunzi hawa wa Wiza High School iliyopo wilayani Mbozi
" new post