Adverts

Jan 18, 2011

MBEYA

MBEYA: Huyu ni Mtanzania halisi, utakuta mtu anatumia baiskeli za kichina sijui kutoka beijing, hong kong wiziii mtupu, enzi za mwalimu watoto walitumia vibagadu, ama baiskeli za miti kule Iringa lakini baadaye kidogo tukaadvance kwa kutengeneza hizi kwa mafundi seremala!!!!!!!!!!!!!!!!!!safari njema dogo wasalimie