Adverts

Jan 16, 2011

Ficha na kufichua mafaili kwenye Windows 7 na XP(Hidden files)

Ficha na kufichua mafaili kwenye Windows 7 na XP(Hidden files): "

Kwa Video ya Mada hii Tembelea HAPA

Ufanyaji kazi wa mitambo endeshi(Operating Systems) unafanana sana na ule wa mwanadamu,kwa mfano,wengi wetu tumezoea au kuwa na tabia ya kutenganisha mambo yetu.Kuna baadhi ya mambo ni binafsi(siri) ambayo hakuna mtu anayetakiwa kuyajua au kuona wakati mengine huwa yanakuwa wazi kwa wenye mamcho waone na wenye masikio wasikie.Hii inasaidia sana usalama na usafi katika maisha.Si umewahi kusikia “Jamaa ni msafi,hana scandal”.

Hii ni sawa na kwenye kompyuta,ndani ya kompyuta kuna aina mbili ya mafaili,kundi la kwanza ni yale yanayotumika na mtambo endeshi wakati kundi… Read more

" new post