Muda si mrefu tumemaliza conference yetu ya kwanza kabisa.
Webcast ya leo wal;iohudhuria walitoka UK,China na Afrika ya kusini,hivyo tunapenda kupata maoni toka kwa walio nyumbani,sababu gani zimewakwanza au kuwatatizo kuhudhuria conference ya leo.Tulizungumzia sana juu ya kuweka misingi thabiti kwa ajili ya webcast zijazo kwani safari ndio imeanza.yafuatayo ndio yalijadiliwa.
1.Kuhamasisha wanajamii zaidi juu ya ushiriki wa hizi conference.
2.Kuboresha njia za ushiriki wa conference,kwani kuna wadau walishindwa kushiriki kwani kwa watu wanaotumia kompyuta za cafe ingewawia ugumu zaidi kuweza kushiriki kutokana na kutoruhusiwa kusimika programu.
3.Kubadilisha muda wa conference toka saa kumi jumamosi hadi saa nane ya kila… Read more
kutoka www. afroit.com new post