HASANI MOSH TX JR APAGAWISHA MASHABIKI MSONDO: "

Hassani Moshi JR akifanya makamuzi

Hassani Moshi JR akimba katika kundi la Msondo ngoma

Romani Mng'ande, Hassani Moshi JR na Eddo Sanga wakitoa burudani

Mwimbaji wa Bendi ya Msondo Hassani Moshi TX JR, kushoto akiimba wakati wa onyesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Max baa Ilala Bungoni juzi, kulia ni mpiga gitaa Zahoro Bangwe
"