IMF yatoa ripoti ya uchumi wa dunia.: "Shirika la fedha la kimataifa, IMF, leo limetoa ripoti inayoashiria mtazamo mzuri wa uchumi wa dunia katika mwaka 2011. Lakini pamoja na hayo shirika hilo limesema baadhi ya nchi tajiri bado zinakabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira, wakati baadhi ya mataifa yanayoinukia kiuchumi yanakabiwa..."