Adverts

Jan 14, 2011

JAMANI KAMA NI ANTI VIRUS WABONGO MNAJITAHIDI KUFANYA UTAFITI

Nimepata hii picha sehemu kwenye face book kwakweli imenichekesha hasa kwa kuzingatia watu wanavyohangaika kufanya ubunifu kwenye page zao, eti anafanya utafiti kama hii kitu inaweza kuwa anti virus sasa sijui ni Norton, Mcafee, Rising, ama avira????