Kamati Tendaji ya Maspika na Wenyeviti wa mabunge ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Madola wakiwa katika siku ya mwisho ya kikao chao leo kilichofanyika katika Kisiwa cha Isle of Man. Kutoka kushoto ni Spika wa Bunge la Australia Mhe. Harry Jenkins, Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Maminda na Spika wa Bunge la House of Commons la Uingereza Mhe. John Bercow. Wengine ni Spika wa Bunge la Pakistan Dkt. Fehmida Mirza, Spika wa Bunge Isle of Man Mhe. Steve Rodan na Rais wa Bunge la Ise of Man Mhe. Noel Cringle. Katika kikao hicho walikubaliana agenda za mkutano mkuu kuwa pamoja na mambo mengine ni kujadili jinsi ya kukabilina na changamoto za kuongoza mabunge yenye itikadi tofauti.
"
new post