timu ya atreticco paranaense toka brazil yawasili nchini leo: "
Mjumbe wa Bodi na mkuu wa Msafara wa timu ya Atreticco Paranaense toka chini Brazil,Rodevto Elias Karam (kulia) akiongea na vyombo vya habari usiku huu katika hoteli ya Movenpick ilipofikia timu hiyo.kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa Kimataifa katika timu hiyo,Ocry Neto ambaye alikuwa akitafsiri mazungumzo ya mjumbe wao huyu dhidi ya wanahabari.
Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa Kimataifa wa timu ya Atreticco Paranaense toka chini Brazil,Ocry Neto akifafanua jambao mbele ya waandishi wa habari waliofika usiku huu katika hoteli ya Movenpick kwa mapokezi ya timu hiyo.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Atreticco Paranaense ya chini Brazil wakiwa katika mapumziko ndani ya hoteli ya Movenpick usiku huu.timu hii ipo nchini kwa ziara ya kimichezo ambapo itacheza michezo miwili na timu za Yanga na Simba.
"
new post