Karibuni mwanamuziki maarufu wa kizazi kipya toka Bongo, Diamond, amekuwa ziarani Uingereza. Safari yake imetengenezwa na wanahabari na wasanii wa Urban Pulse Creative Media, toka Reading.
Lengo la ziara hiyo ni kuchangia vita dhidi ya Malaria. Wasikie Urban Pulse wakihojiwa kwa kimombo na mtangazaji maarufu wa Kitanzania Uingereza, Sporah Njau jana.
" new post