Adverts

Jan 22, 2011

KILIO CHA MSONGAMANO WA MAGARI TUNDUMA,WATU WAAMUA KUTEMBEA KWA MGUU KUWAHI

Juu na Chini ni Baadhi ya wakazi wa mji wa Tunduma na maeneo jirani wakiwa wanatembea kwa miguu jana baada ya kutokea kwa msongamano mkubwa wa malori ya kwenda na kutoka nchi jirani ya Zambia. Msongamano huo ulitokana na zoezi la ukaguzi wa mizigo katika eneo la mpaka wa Tanzania na Zambia lililokuwa likiendeshwa na maafisa wa forodha.
"