Adverts

Jan 21, 2011

KILLY BIRTHDAY DINNER

KILLY BIRTHDAY DINNER: "
BIRTHDAY GIRL::KILLY
VENUE::SOUTHERN SUN
kitu kilikuwa pool side
P.P.S
lol niliulizwa kuku ni jamii ya ndege je samaki ni jamii ya meli.....haya huyu nyoka hapa unyayoni tumtie kundi lipii?!! ;)
madiniii dada madiniii...mtoto wa kike walau tugram....sasa Killy ametupia kitu cha tanzanite hapo kati......na ule ugonjwa wangu 'bangili' ambao kila nikijisachiiii sifikiiii....ila sikati tamaa nina kibubu nimeanzisha
lol!! bijouxnista do it again ....kitu cha tai hapo katiiiiiii
Ah Tyra Banks weeee...aminiaa
ah venus weee.......wapi serena ;).....Naomba diet iyooo
diva ...Jacque
"