Adverts

Jan 22, 2011

KUTOKA DOLLYWOOD:

KUTOKA DOLLYWOOD:: "
Tumeanzisha project ya kudumu kwa ajili ya wasanii wa bongoflava ambayo inaitwa bongoflava fashion style itakuwa inausu kuandaa VIDEO, INTERVIEW, SHOW tunavalisha mavazi,kutafuta location,na tuna hip hop modo wasichana na wavulana wa kila age ambao wata fit kulingana na video husika.lengo ni kufikisha mziki wetu kwenye lavel za kimataifa na kuwa na muonekano mzuri. kuna baadhi ya video ambazo tayari tumezifanya ni SHETTA ft BELLE9 nimechokwa BELLE9 ft MR BLUE we ni wangu BELLE9 nilipe nisepe KUTOKA MICHUZI BLOG
"