Adverts

Jan 22, 2011

MATUMIZI YA RASLIMALI ZINAZOTUZUNGUKA, VIJIJINI TUPO INFORMED THAN MJINI EEE!!!

Kijana huyu mkazi wa kijiji cha Iporoto kata ya Bara wilayani Mbozi nimemkuta huko akiwa amepiga kapelo lake la majani alilolisokota hii leo nikiwa kwenye majukumu yangu ya kiserikali. Ubunifu huu wakati mwingine hupunguza gharama na hata uchafuzi wa mazingira kupungua katika maeneo yetu kwakuwa ikishakauka hubadilika kuwa kuni za kuwashia moto!