Adverts

Jan 15, 2011

Kwa Mawe, Umma Umemwandamisha Rais Tunisia!

Kwa Mawe, Umma Umemwandamisha Rais Tunisia!: " Mabomu ya machozi, risasi za moto na hata vifaru barabarani. Vyote havikusaidia kuurudisha umma nyuma. Tunisia na Watunisia wameandika tena historia Afrika kwa kumfukuza Rais wao madarakani kwa mawe. Nikipata nafasi nitaandika tafsiri yangu ya kilichotokea inakuja.
" new post