Jan 15, 2011
Mzee Hongole: " Stori Ya Mwamwindi Haikuandikika!"
Mzee Hongole: " Stori Ya Mwamwindi Haikuandikika!": "
Nikiwa Njombe, jana nilikutana na kuongea na Mzee Hongole. Mzee huyu alipata kuwa mwandishi wa habari kijana sana wakati tukio la Mwamwindi kumwua Mkuu wa Mkoa Dr Kleruu lililopotokea.
Mzee Hongela: ' Ndio kwanza nilikuwa nimepangiwa kufanya kazi kama mwandishi wa habari kwenye gazeti la kanisa pale Iringa. Lilikuwa tukio kubwa sana. Kama mwandishi nilitamani kuandika kilichotokea na maoni ya watu wa Iringa na kanda ya nyanda za juu kusini kwa ujumla. Kwa wakati ule mfumo haukuruhusu kitu kama hicho. Mwamwindi story was an embargoed one. Lakini nataka kukuambia:' Watu wengi wa Iringa hawakumpenda Dr Kleruu kutokana na unyanyasaji wake'. "
kutoka www.mjengwa.blogspot.com
new post