Adverts

Jan 27, 2011

MABADILIKO YA MCHEZO NAMBA 85 KATI YA AZAM FC NA TOTO AFRICA

MABADILIKO YA MCHEZO NAMBA 85 KATI YA AZAM FC NA TOTO AFRICA: "
Boniface Wambura msemaji wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini TFF.
Shirikisho la mpira wa Miguu nchini TFF limetoa taarifa kupitia kwa Afisa Habari wake Boniface Wambura likitaarifu kwaba kuna mabadiliko yamefanyika katika ratiba ya Ligi kuu ya Vodacom Tanzania katika mchezo namba 85 kati ya Azam FC na Toto African sasa utafanyika Februari 4 2011 badala ya Februari 2. Mchezo huo utafanyika kwenye Uwanja wa Uhuru na haya ni mabadiliko ya kawaida tu ya michuano hiyo katikam kuboresha ligi yetu ya Vodacom Tanzania
"